Google Ya Mafanikio
Ongea Na Kocha.
ONGEA NA KOCHA; Safari Ya Maisha Ya Farhia Omar.
0:00
-2:56:27

ONGEA NA KOCHA; Safari Ya Maisha Ya Farhia Omar.

Habari wanamafanikio?

Karibuni kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tumefanya mahojiano na mwanamafanikio mwenzetu Farhia Omar aliyetushirikisha safari yake ya maisha.

Farhia ametushirikisha historia fupi ya maisha yake tangu kuzaliwa.

Ametushirikisha kusoma na kufanya kazi kabla ya kusafiri kwenda nje ya nchi.

Ametushirikisha sababu zilizomsukuma kwenda nje ya nchi na maisha ya huko.

Ameshirikisha kazi mbalimbali ambazo amewahi kufanya, ikiwepo kwenye kampuni ya Amazon na yale aliyojifunza kwenye kila kazi.

Ametushirikisha pia biashara mbalimbali ambazo amewahi kufanya na jinsi zimekuwa na changamoto kubwa kwake.

Na pia ameenda kwa kina zaidi kueleza changamoto kubwa anayokabiliana nayo ya nini afanye kwenye safari yake ya mafanikio.

Ushauri mwingi na mzuri sana umetolewa kwa mwanamafanikio mwenzetu kutokana na yale aliyoshirikisha.

Karibu sana usikilize kipindi hiki, kuna mengi ya kujifunza kutoka kwenye safari ya mwenzetu na mengi zaidi ya kujifunza kutoka kwenye ushauri ambao umetolewa na wanamafanikio wenzetu.

Kocha.

Discussion about this episode

User's avatar