Habari mwanamafanikio?
Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo mawili makubwa.
Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha GETTING TO YES, kitabu kinachotufundisha msingi sahihi wa kufanya majadiliano yenye manufaa kwa pande zote. Majadiliano hayo ya msingi yana hatua nne ambazo ni kuwatenganisha watu na tatizo, kuangalia maslahi ya pande …