Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa pamoja wa kitabu cha SELL LIKE CRAZY. Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Sabry Subi ambacho kinatupa maarifa ya kuweza kujenga mfumo wa masoko na mauzo ambao unatuwezesha kuleta wateja wengi kwenye biashara na kufanya mauzo makubwa kuliko tulivyozoea. Haya ni maarifa muhimu sana kwa ukuaji wa biashara zetu. Kwenye mjadala huu wa kitabu, wanamafanikio mbalimbali wameshirikisha yale waliyojifunza kwenye kitabu na uzoefu wao katika kufanyia kazi mambo hayo. Sikiliza kipindi kujifunza zaidi.
Ongea Na Kocha; Sell Like Crazy, Basil Danghalo.
Ongea Na Kocha; Sell Like Crazy, Basil…