ONGEA NA KOCHA; KISIMA, TATHMINI, REJOYCE OTARU. Karibu mwanamafanikio kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo makubwa manne ya kujifunza kwenye safari yetu ya mafanikio. Jambo la kwanza ni mambo ya muhimu na ya msingi ya kuzingatia kwenye KISIMA CHA MAARIFA. Kwa sasa tunapotia mageuzi makubwa kwenye KISIMA kutoka kuwa kundi la kujifunza na kwenda kuwa jumuia za wanamafanikio. Katika mageuzi haya KISIMA kinataka kila mmoja kujitoa zaidi ili kuweza kufanikisha lengo la pamoja ambalo wote tunalo. Nimeshirikisha dhana nzima ya KISIMA CHA MAARIFA NI JESHI, adui yetu mkuu tunayemkabili na ushindi ambao tunataka kuupata.
Ongea Na Kocha; Kisima, Tathmini, Rejoyce Otaru.
Ongea Na Kocha; Kisima, Tathmini, Rejoyce…