Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo tunapata uchambuzi wa kitabu cha INSTANT CASHFLOW sehemu ya pili. Kwenye sehemu hii ya pili tunaangalia maeneo mawili kati ya matano ya kukuza biashara. Eneo la kwanza ni kutengeneza wateja tarajiwa kupitia masoko. Hapa tunaziangalia njia mbalimbali za masoko unazoweza kutumia kwenye biashara yako na ukawafikia wateja wengi wapya. Masoko ni sehemu muhimu sana ya biashara, isipofanyiwa kazi vizuri na kwa uhakika, biashara haiwezi kufanikiwa.
ONGEA NA KOCHA; Instant Cashflow Sehemu Ya Pili.
ONGEA NA KOCHA; Instant Cashflow Sehemu Ya…