Ongea Na Kocha; How To Live On 24 Hours A Day Na Mwongozo Wa Kufanya Tathmini Ya Robo Mwaka.
mafanikio.substack.com
Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha HOW TO LIVE ON 24 HOURS A DAY kilichoandikwa na Arnold Bennett. Kitabu hiki kifupi ambacho kimeandikwa zaidi ya miaka 100 iliyopita kina mengi ya kutufundisha kuhusu matumizi sahihi ya muda na jinsi ya kuishi vyema. Kwenye kipindi tumekuwa na mjadala wa kitabu ambapo wanamafanikio wameshirikisha yale waliyojifunza kwenye kitabu hicho.
Ongea Na Kocha; How To Live On 24 Hours A Day Na Mwongozo Wa Kufanya Tathmini Ya Robo Mwaka.
Ongea Na Kocha; How To Live On 24 Hours A Day…