Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo matatu makubwa. Jambo la kwanza ni uchambuzi wa kitabu cha HELL YEAH OR NO kilichoandikwa na Derek Sivers. Kwenye kitabu hiki mwandishi ametushirikisha falsafa yake fupi ya kuchagua nini afanye. Anatuambia kama kitu hukipi NDIYO kubwa basi unapaswa kukipa HAPANA. Ni kitabu kifupi, chenye mambo ya kawaida ila yenye nguvu kubwa sana kwenye safari yetu ya mafanikio.
ONGEA NA KOCHA; HELL YEAH, BOSCO MLOMO.