Ongea Na Kocha; Exactly What To Say, Mrejesho Wa Tathmini Ya Robo Mwaka Na Lengo Jipya La Namba Ya Mauzo.
mafanikio.substack.com
Habari mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambacho kina mambo matatu makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa kitabu cha EXACTLY WHAT TO SAY, kitabu chenye maneno 23 ya ushawishi ambayo ukiyatumia unakuwa na ushawishi mkubwa kwa wengine. Wanamafanikio wameshirikisha kwa mifano kuhusu maneno hayo. Sikiliza kipindi hiki kujifunza kutoka kwenye uzoefu wa wengine.
Ongea Na Kocha; Exactly What To Say, Mrejesho Wa Tathmini Ya Robo Mwaka Na Lengo Jipya La Namba Ya Mauzo.
Ongea Na Kocha; Exactly What To Say, Mrejesho…