#TAFAKARI YA LEO; USIYAFANYE MAISHA KUWA MAGUMU ZAIDI YA YALIVYO...
"We are not satisfied with our real life. We want to live an imaginary life, a life in which we seem different in the eyes of other people than we are in reality." — Blaise Pascal
Maisha tayari ni magumu kwa kila mtu, bila kujali mtu yupo kwenye hatua ipi ya kimaisha.
Lakini watu wengi wamekuwa wanayafanya kuwa magumu zaidi ya yalivyo, kwa kuishi kwa maig…