#TAFAKARI YA LEO; USISEME, ONESHA...
“Don’t talk about your philosophy, embody it.” - Epictetus
Kusema ni rahisi na matendo ni magumu.
Huwa tunapenda kusema kuliko kutenda.
Lakini matendo yana sauti kubwa kuliko maneno.
Hivyo kama unataka kueleweka na wengine, usiwe tu mtu wa kusema kwa maneno, badala yake onesha kwa vitendo.
Chochote unachosimamia kwenye maisha au unachotaka watu waelewe, ukio…