“If you shape your life according to nature, you will never be poor. If you shape your life according to people’s opinions, you will never be rich.” – Epicurus Ukiyaendesha maisha yako kulingana na asili, kamwe huwezi kuwa masikini. Kwa sababu asili inataka mambo machache sana na ambayo yako ndani ya uwezo wa kila mmoja wetu, bila ya kujali yupo kwenye hali gani.
#TAFAKARI YA LEO; UMASIKINI NA UTAJIRI...
Asante Kocha kwa tafakari njema. Nachagua kuishi maisha yangu bila kujali yapo kwenye hali gani