#TAFAKARI YA LEO; HAMASA NA KIPAJI PEKEE HAVITOSHI...
mafanikio.substack.com
"As habit is more dependable than inspiration, continued learning is more dependable than talent." -- Octavia Butler Ili kuanza kufanya kitu, unahitaji kuwa na hamasa ndani yako ya kukifanya. Lakini hamasa huwa haidumu, ni kitu cha muda mfupi tu. Hivyo ili uendelee kufanya, unapaswa kujijengea tabia, ikishakuwa tabia, inakuwa rahisi kuendelea kufanya.
#TAFAKARI YA LEO; HAMASA NA KIPAJI PEKEE HAVITOSHI...
#TAFAKARI YA LEO; HAMASA NA KIPAJI PEKEE…