Hapa nakwenda kukushirikisha sura moja kutoka kwenye kitabu cha aliyekuwa mwanafizikia Richard P Feynman.
Kwenye kitabu chake kinachoitwa Surely You’re Joking Mr . Feynman ameshirikisha matukio mbalimbali kwenye safari ya maisha yake ya kisayansi na kawaida.
Feyman alikuwa mtu anayependa utani, kudadisi, kuhoji na kijaribu vitu vipya kila wakati.
Kwenye ki…