Habari wanamafanikio?
Kama ambavyo kila mtu atakuwa ameona, mtandao wa wasap kwa sasa haupatikani,
Na hatujui ni lini utapatikana.
Hivyo katika kipindi hiki ambacho mtandao huo haupatikani, tutaendelea kutumia mtandao huu wa Mwongozo Wa Mafanikio.
Karibuni kwa mijadala mbalimbali, tuendelee kujifunza na kuchukua hatua ili maisha yetu yawe bora zaidi.
Kocha.