Google Ya Mafanikio ni mfumo wa kushirikishana uzoefu kwenye safari ya mafanikio.
Katika harakati zetu za safari ya mafanikio, tunapitia mengi, tunajaribu mengi na ndani yake tunajifunza kwa kupata au kukosa kile tulichotaka.
Yote hayo tunayopitia ni uzoefu ambao unaweza kuwasaidia wengine ambao wanapambana kupata mafanikio.
Lakini pia kuna uzoefu wa wengine ambao unaweza kukusaidia kuokoa muda na nguvu katika kupata kile unachotaka.
Karibu kwenye mfumo huu ushirikishe uzoefu wako na pia ujifunze kutoka kwenye uzoefu wa wengine.
Ili uweze kupata maarifa haya, unapaswa kuwa mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA, ambayo ni huduma ya mafunzo na ushauri anayoiendesha Kocha.
Ili kuwa mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA unapaswa kulipa ada ya mwaka ambayo kwa sasa ni tsh laki tatu (300,000/=)
Kulipa ada na kuwa mwanachama wasiliana na Kocha kwa simu/ujumbe/wasap namba 0717396253.
Karibu sana tusafiri pamoja kuelekea kwenye kilele cha mafanikio.
Kupata makala nzuri za mafanikio tembelea www.amkamtanzania.com na www.kisimachamaarifa.co.tz
Unapojiunga na Google Ya Mafanikio kwa kuandikisha email yako,
Utaanza kupokea makala za maarifa ya mafanikio moja kwa moja kwenye email yako uliyoandikisha.
Kupata makala za nyuma za Google Ya mafanikio, bonyeza maandishi haya.
Jambo muhimu kuzingatia...
Utaweza kusoma mafunzo yaliyopo kwenye Google Ya Mafanikio kama tayari ni mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA na umelipa ada.
Ukishakuwa mwanachama unapewa kibali cha kuweza kufungua na kusoma mafunzo haya.
Kama bado hujawa mwanachama na hivyo kushindwa kufungua mafunzo haya, jiunge sasa na KISIMA CHA MAARIFA ili usikose maarifa haya muhimu.
Kujiunga na KISIMA CHA MAARIFA, lipa ada ya mwaka ambayo kwa sasa ni tsh laki tatu (300,000/=) kwa namba 0717396253 kisha tuma majina yako na email kwenye namba hiyo kueleza umelipia KISIMA CHA MAARIFA na utapewa kibali cha kusoma mafunzk haya kwa mwaka mzima na kupata mafunzo mengine mazuri.
Kama huzipati email za makala...
Kama huzipati email za makala zinazotumwa, ingia kwenye email yako na angalia maeneo haya; spam, promotions, updates.
Ukikuta email hizo kwenye maeneo hayo, ziruhusu ziingie moja kwa moja inbox.
Asante kocha kwa kuendelea kutuweka imara.
Asante kwa mwongozo wa mafanikio Dr. Makirita