Karibu kwenye mjadala wa leo ambapo tunakwenda kujifunza kupitia kisa kingine cha Richard Feynman kama alivyoshirikisha kwenye kitabu chake kinachoitwa Surely You’re Joking Mr Feynman.
Kama hukufuatilia mjadala wa kisa kingine cha Feynman, bonyeza maandishi haya.
Feynman alikuwa profesa wa fizikia kwenye chuo cha Cornell kwa muda. Lakini mazingira na idar…