Karibu Kwenye Google Ya Mafanikio.

Google Ya Mafanikio ni mfumo wa kushirikishana uzoefu kwenye safari ya mafanikio.

Katika harakati zetu za safari ya mafanikio, tunapitia mengi, tunajaribu mengi na ndani yake tunajifunza kwa kupata au kukosa kile tulichotaka.

Yote hayo tunayopitia ni uzoefu ambao unaweza kuwasaidia wengine ambao wanapambana kupata mafanikio.

Lakini pia kuna uzoefu wa wengine ambao unaweza kukusaidia kuokoa muda na nguvu katika kupata kile unachotaka.

Karibu kwenye mfumo huu ushirikishe uzoefu wako na pia ujifunze kutoka kwenye uzoefu wa wengine.

Ili uweze kupata maarifa haya, unapaswa kuwa mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA, ambayo ni huduma ya mafunzo na ushauri anayoiendesha Kocha.

Ili kuwa mwanachama wa KISIMA CHA MAARIFA unapaswa kulipa ada ya mwaka ambayo kwa sasa ni tsh laki tatu (300,000/=)

Kulipa ada na kuwa mwanachama wasiliana na Kocha kwa simu/ujumbe/wasap namba 0717396253.

Karibu sana tusafiri pamoja kuelekea kwenye kilele cha mafanikio.

Kupata makala nzuri za mafanikio tembelea www.amkamtanzania.com na www.kisimachamaarifa.co.tz